Social Icons

Friday, 20 December 2013

BREAKING NEWS: WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KAGASHEKI ATANGAZA KUJIUZULU

Waziri wa maliasili Mh. Kagasheki atangaza kujiuzuru Bungeni Muda huu .Mh Kagasheki amechukua uamuzi huo mara baada ya ripoti ya kamati ya Bunge iliyosomwa leo Kumtuhumu kuzembea katika oparetioni tokomeza.

WAZIRI AMETANGAZA KUWASILISHA BARUA KWA ALIYEMTEUEA

No comments:

Post a Comment