Social Icons

Thursday, 19 December 2013

TAZAMA SAFU ZA MILIMA YA LIVINGSTONE PAMOJA NA MIAMBA YA AINA YAKE PEMBEZONI MWA ZIWA NYASA

 Miamba pembezoni mwa ziwa nyasa
 Safu ya milima ya livingstone iliyoko mwambao wa ziwa nyasa
 Miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya ya kwanza kwa wakoloni iko wilaya ya Ludewa


 miamba ambayo ni vivutio kwa watalii wilayani ludewa mwambao wa ziwa nyasa 
Hii ni moja ya miamba inayopatikana ziwa nyasa ambayo ni vivutio vya watalii,maeneo haya ni mazalia ya samaki ambapo wavuvi wengi hupenda kuvua kutokana na upatikanaji mkubwa wa kila aina ya samaki.
 Safu ya milima livingstone iliyoko wilaya ya Ludewa

No comments:

Post a Comment