Social Icons

Saturday, 11 January 2014

ASKARI WANYAMAPORI ALIYEUMIA KAZINI ATEMBELEWA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII LAZARO NYALANDUNaibu  waziri  wa  maliasili na utalii Lazaro Nyalandu  akimjulia hali askari  aliyeumia wakati akitimiza majukumu yake  ya kazi
Wanahabari  wakizungumza na askari  huyo 

No comments:

Post a Comment