Social Icons

Sunday, 19 January 2014

JE UMESHAWAHI KUONA?TUKIO KATIKA PICHA. HIVI NDIVYO CHATU ALIVYO WEZA KUMMEZA SWALA HUYU MZIMA MZIMA!

Watu wengi tumekuwa tukisikia kuwa Chatu ni nyoka ambaye humeza vitu vizima lakini pengine pia wengi wetu hatujawahi shuhudia jinsigani chatu huyo jinsi anavyofanya mpaka kummeza mnyama...
Huu ni mfano mzuri ambapo Chatu huyu alifanikiwa kuumeza kuumeza mnyama Swala ....
Fuatilia hapa

Chatu akiwa amemkamata Swala na kuanza kumvunja vunja ili aweze kummeza
 Hapa Chatu akiwa anaongeza Bidii za kumkunja na kumvunja mifupa 
Hapa anaendelea kumvunja zaidi huku akimmeza
 Akiendelea Kummeza
 Hapa anavuta ngozi huku akumvuta kuumeza 
 Hapa akiwa anammalizia kuumeza 

Miguu ndio hiyo inaishia sasa....
Hapa  amemaliza kuumeza unaweza ukasema amefika mpaka mwisho ... lah .. chatu ni mkubwa sana amebakia sehemu kubwa tuu hapa mara baada ya kuumeza swala huyo...

Usikose kipindi kijacho katika maliasili zetu

No comments:

Post a Comment