Social Icons

Tuesday, 14 January 2014

WANYAMA WAPOTEA BARABARA KUU MIKUMI , KUELEKEA ZAMBIA.

 Pundamilia wakionekana kwa uchache 

 Ndege Pori 
 Tembo ndio wameadimika kabisa hawaonekani 
 Swala ambao walikuwa wanaonekana kwa wingi sana, sasa wamekuwa hadimu kabisa wanaonekana kwa makundi machache machache sana 
Nyati nao wanaonekana kwa mmoja mmoja sana ..

Picha na Maliasili zetu

No comments:

Post a Comment