Social Icons

Wednesday, 29 January 2014

WATAZAME SWALA WANAVYO VUTIA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.

 Kundi kubwa la Swala wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi 
 Mmoja ya Swala akiwa mwenyewe ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Uwapo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi utakutana na Swala wengi wenye kuvutia  Swala wakiwa pamoja na Ndege Pori 


Swala hawa wakiwa Jirani kabisa na nyumba zilizopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Picha zote na Maliasili Zetu

No comments:

Post a Comment