Social Icons

Wednesday, 5 February 2014

Kamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya ArushaMwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA).
kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki akizungumza jambo wakati kamati ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea na kuzungumza na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh Bulaya,Mh Kiwhelu na Mh Chombo wakifuatilia maelezo toka kwa mhifadhi mkuu wa hifadhi ya taifa ya Arusha(hayupo pichani).
Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira Mh ,Ester Bulaya akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Humud Abdi Jumaa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Suzan Kiwanga akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Grace Kiwhelu akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Mohd Amour Chombo akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Picha zote na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi. 
Michuzi Media Group

No comments:

Post a Comment