Social Icons

Tuesday, 11 February 2014

MAJANGILI WANASWA BILA KUJIJUA: VIDEO KUTOKA ITV NEWS(UINGEREZA) ILIVYO PELELEZA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU INAVYO FANYIKA TANZANIA, WACHUKUA VIDEO YA WAUZAJI BILA WAO KUJITAMBUA. TAZAMA


Timu ya kituo cha runinga cha Uingereza cha ITV News imefanya upepelezi katika soko la uuzaji wa pembe za ndovu nchini Tanzania kuonesha jinsi ilivyo rahisi kunununua bidhaa hiyo haramu.
Akijifanya kama mfanyabiashara kutoka China, mwandishi wa kituo hicho alizungumza na wafanyabiashara wa pembe hizo na kumhakikishia kuwa anaweza kupata oda yake pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili baada ya wao kuingia msituni na kwenda kuua tembo.
The team is offered more products on condition they remain “discreet”

Our team enters a market stall and asks about buying ivory
Timu ya ITV News ikiwa kwenye kibanda chenye wafanyabiashara wa pembe za ndovu ambao kwa nje wanaonekana wakifanya biashara ya vinyago na bidhaa zingine za mikono

Kamera zilizokuwa zimefichwa ziliwarekodi wauzaji hao wakiahidi kuisaidia timu hiyo kusafirisha pembe hizo kwenda nchini China.
The sellers offer to go back to the bush to secure six more tusks within two weeks
Muuzaji wa pembe za ndovu akimwambia mwandishi huyo kuwa anaweza kwenda kuongeza pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili kutegemea na uwepo wa fedha

Katika video hiyo, mfanyabiashara anasema kila kilo moja ya pembe ya ndovu inauzwa $700 ambazo ni takriban shilingi 112,700 za Tanzania.

CHANZO : BONGO 5 

1 comment:

 1. I know this if off topic but I'm looking into starting my own blog and was wondering what all is required to get set up?
  I'm assuming having a blog like yours would cost a pretty penny?

  I'm not very web savvy so I'm not 100% sure. Any suggestions or advice would be
  greatly appreciated. Cheers

  My page :: car leasing deals Uk

  ReplyDelete