Social Icons

Friday, 14 February 2014

MH.RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZA NA DIRA YA DUNIA BBC TV KUHUSU WANYAMA PORI


Prince Charles na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ni miongoni mwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa mjini London, wenye lengo la kuzuia uwindaji wa wanyama waliohatarini kutoweka. Biashara hiyo yenye kuingiza takriban dola bilioni 19 kwa mwaka, imeenea kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya pembe za ndovu nchini China. 

Zuhura Yunus wa BBC Swahili  amezungumza na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhusu janga hilo katika kipindi cha Dira ya Dunia ya BBC TV juu ya janga hilo linaloikumba nchi hiyo mwanzo kujua wanakabiliana nalo vipi.
Chanzo: Michuzi

No comments:

Post a Comment