Social Icons

Monday, 17 February 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House

No comments:

Post a Comment