Social Icons

Wednesday, 12 March 2014

RAIS DKT. KIKWETE APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI
1 (2)  
Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi  wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na  kulia ni   Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa  na FZS kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili  katika hifadhi za Serengeti Selous na Maswa.4 (1)Mkurugenzi  wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir(katikati) akitoa hotuba yake kuhusu msaada  magari 11 waliyoyatoa kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili  katika hifadhi za Serengeti ,Selous na Maswa,kushoto wa pili ni Rais Jakaya Kikwete na wa kwanza ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel na kulia wa pili  Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu.6 (1)  
Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akionesha moja ya ufunguo wa msaada wa magari 11 mara baada ya kukabidhiwa na  Mkurugenzi  wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (  kulia wanne) katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa na FZS kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili  katika hifadhi za Serengeti ,Selous na Maswa.9  
Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel akizungumza jamabo wakati wa hafla hiyo  iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.IMG_0461 
Rais Jakaya  Kikwete  akitoa hotuba yake kushukuru  msaada  magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi  wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili  katika hifadhi za Serengeti,  Selous na Maswa.
 Picha na Magreth Kinabo -MAELEZO

No comments:

Post a Comment