Social Icons

Friday, 7 March 2014

TAZAMA WANYAMA WANAVYO PENDEZA KATIKA HIFADHI MBALIMBALI ZA TAIFA NCHINI TANZANIA

 Serengeti National park ndipo Chui huyu alipoonekana akinywa maji kandokando ya barabara. 
 Hawa Duma nao walikutwa wakiwa wamekamilisha windo lao la pundamilia huko huko Serengeti Ngorongoro Crater aka Shimoni ndio walipokutwa hawa Sharubu watatu wakipiga misele

 Tarangire

Shukran kwa Mdau Assery kwa picha hizi1 comment:

  1. hakika Tanzania yetu imejaariwa sana aswaaa kwa maliasili tulizonazo!!. Basi ni nini wito wangu kwa watanzania wenzangu TUZILINDE, TUZIHIFADHI NA TUZITANGAZE NDANI NA NJE YA TANZANIA. Pia pongezi kwa blog hii ya MALIASILI ZETU kwa kuwa mfano tena ulio bora kuitangaza nchi yetu kwa rasilimali zetu...!

    ReplyDelete