Social Icons

Wednesday, 19 March 2014

UKISHANGAA YA MUSA: SHUHUDIA JAMII HII YA WATU HAWA WANAVYO ISHI NA MAMBA KAMA MIFUGO YA KAWAIDA TU!

wanaishi na mambaHii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.
Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.
securedownload6
Huyu dogo akiwa amempanda Mamba kama anaendesha baiskeri 
 securedownload5
Mzee akiwa amekaa Bila wasi wasi huku akiangalia mamba kama mifugo ya kawaida
 securedownload4
Mamba ametulia kimya 
 securedownload
Bila wasi wasi anacheza na mamba
Habari: matukio na vijana

No comments:

Post a Comment