Social Icons

Monday, 28 April 2014

TAZAMA UZURI WA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI INAVYO PENDEZA KIPINDI HIKI.

Lango kuu la kuingilia Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Hii ni Barabara kuu inayopita Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

 Nyani wakiwa wanacheza Barabarani

 Muonekano wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi , ikiwa ni sehemu ya Porini ambapo wanyama wanaishi
 Baadhi ya wanyama aina ya Swala wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Pundamilia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Kijani Nzuri ikiwa imetawala katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Picha zote na Maliasili Zetu Blog


No comments:

Post a Comment