Social Icons

Wednesday, 21 May 2014

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KLM.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akimsikiliza kwa makini Meneja Mkuu wa KLM kwa upande wa Africa Mashariki Bw. Dries Klein wakati hafla ya maadhimisho ya kutimiza miaka 45 ya Shirika la KLM kufanya kazi nchini yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akipongezana kwa furaha na baadhi ya Wadau na watendaji wa Shirika la Ndege KLM wakati wa hafla ya maadhimisho maadhimisho ya kutimiza miaka 45 ya Shirika la KLM kufanya kazi nchini yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Lazaro Nyalandu akipokea zawadi ya mfano wa picha ya Ndege ya Shirika la KLM katika kilele cha madhimisho ya miaka 45 ya Shirika la KLM kufanya kazi nchini yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Meneja Meneja Mkuu wa KLM kwa upande wa Africa Mashariki Bw. Dries Klein (kulia ) wakikakata keki kwenye kilele cha maadhimisho ya kutimiza miaka 45 ya Shirika la KLM kwa kufanya kazi nchini yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam .

No comments:

Post a Comment