Social Icons

Tuesday, 24 June 2014

MAHAFALI YA WAHITIMU WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI JIJINI MWANZA  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua maabara ya kompyuta katika  chuo cha Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Pasiansi Mwanza wakati wa mahafali ya 49 ya chuo hicho. Kulia ni Balozi wa Marekani Mark Childless.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani Mark Childless wakikagua gwaride la heshima la wahitimu wa chuo hicho.

Wahitimu wakionesha utaalamu wa Karate.
 Wahitimu wa Uhifadhi wa wanyamapori katika chuo cha Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Psiansi Mwanza wakionyesha ujuzi wa kutumia silaha wakati wa mahafali ya 49 ya chuo hicho juzi.
 Wahitimu wa Uhifadhi wa wanyamapori katika chuo Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Psiansi Mwanza wakicheza gwaride juzi, wakati wa  wa mahafali ya 49 ya chuo hicho juzi.

No comments:

Post a Comment