Social Icons

Wednesday, 11 June 2014

MKUTANO MKUU WA IDARA YA WANYAMAPORI TANZANIA UMEFUNGULIWA LEO TAREHE 11 JUNE 2014 NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE MAHAMOUD MGIMWA

Picha ya pamoja Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Mahamoud Mgimwa,Katibu Mkuu wa Wizara Bi Maimuna Tarish


Baadhi ya washiriki ambao pia na wa Hifadhi wa Wanyamapori Tanzania
************************

Mkutano mkuu wa Idara ya Wanyamapori Tanzania umefunguliwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na kuhudhuliwa na wadau mbalimbali wanaohusiana na uhifadhi wa Wanyamapori akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii BI MAIMUNA TARISH.

Maada mbalimbli zinategemewa kujadiliwa zikiwemo Hali ya ujangili ndani na nje ya Mapori ya Akiba,Hali ya ujangili ndani na nje ya Mapori ya Akiba,Uvamizi wa mifugo katika Mapori ya Akiba,Matumizi endelevu ya Wanyamapori,Utoaji mafunzo kwa watumishi,Utunzaji na utumiaji wa takwimu,Changamoto za utekelezaji wa Sheria ya kuhifadhi Wanyamapori,Wajibu na maadili ya watumishi wa umma,Taratibu za ununuzi wa huduma na vifaa vya Serikali na Uanzishwaji wa Mamlaka ya Wanyamapori - TAWA

Kikao hicho kinatarajia kwisha kesho kikiwa na mkakati kabambe utakao ibuliwa kwa ajili a kupambana na ujangili hatimae kuutokemeza kabisa.

No comments:

Post a Comment