Social Icons

Monday, 29 June 2015

HIVI KARIBUNI TUTAWALETEA MAAJABU YA MAPANGO YA AMBONI TANGA, ENDELEA KUWA NASI USIKOSE.

Inawezekana wengi wetu tunafahamu juu ya Mapango ya Amboni Lakini haswaa kwa undani wake wengi wetu hatufahamu pia.. 

Maliasili Zetu katika harakati za kukimbizana huko Tanga tutawaletea Undani na mambo mazuri na usiyo yafahamu yaliyomo ndani ya Mapango ya Amboni... Hutakiwi kukosa hata Chembe

No comments:

Post a Comment