Social Icons

Tuesday, 28 July 2015

KAMERA YA MALIASILI ZETU YAMULIKIA MIKUMI: HONGERA ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI TOCHI MPAKA KATIKATI YA HIFADHI..

 Hapa ni katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Magari yanaonekana yanakwenda Taratibu huku nako kushoto kwa Mbali kunadereva amezidisha mwendo na akipigwa swali kama kuna sababu ya kumuachia aende au awajibike kwa sababu ya kosa la mwendo kasi..
 Hapa Ukikimbia tuu unalo...
 Hii ni kutokana na ongezeko la ajali lakini pia wanyama kupoteza maisha kwa kugongwa
 Hapa ni Heshima na utiii
 Safi sana
 Hongera Askari wa Usalama Barabarani kwa kazi nzuri sana hii ni zaidi ya pongezi
Wanyama hawa wanahitajika kulindwa sana .....

Picha na Maliasili zetu

No comments:

Post a Comment